
Hakuna mungu kama wewe (3)
Ewe mungu wangu
Coro:
Twasema asante (3)
Ewe mungu wangu
Wewe ni alfa na omega (3)
Ewe mungu wangu
Coro
Hakuna ushindi kama wako (3)
Ewe mungu wangu
Coro
Hakuna baraka kama zako (3)
Ewe mungu wangu
Coro
Ver la traducción al español aquí.
 
 			  
 			  
 					
Sin comentarios